damnlyrics.com

Good Bye (feat. Q Chief)

Oh yeah tmk feel this song

Chege

Wowo woooh woooooo

Wowo woooh woooooo

When I close my eyes picture yako inajirudiya ah Tena

Nasita kusahau kwa matusi ulio nimwagiya ah Yaya

Tena mbele za waatu bila kujali usito wakosaah

Bora ungenieleza myself nikama nimekosaah Yaya

Basi baby goodbye tutaonana mungu akipenda tena ah

Pale tutapo kutana tusiache kusalimiyana aah

Sikutegemeya Kama siku moja utakuja nitosa ukimbiliye kuliko wengine (wowo woooh wooooo)

Nibora ungekwenda mbali kuliko ulivyo amuwa kufanya na ushikaji iih

Ambaye Ni mushikaji wakaribu uuh

Ambaye Ni rafiki nawa ndugu uuh

Ambaye anajuwa tulivyo kuwa aah

Kama chege chikunda anakichukuwa ah

Allahamdulilal kwama tusi ulilo tukanaah

Allahamdulilal kwama baya ulilo fanyiyah

Wala sija sahawu wema wote nililo kufanyiyaah

Sija sahawu mabaya yote uliyo nitendeyaah

Baby goodbye kila kitu kina mwanzo na mwisho mamaah

Baby goodbye akuna mwanzo usiyo na mwisho mamaah

Sikupenda nikate kule sikujuwa ninajisumbuwa

Nabaki nalalamika na moyo wangu uliko uchoma

Mpaka naimba kwa hisiya basi ujuwe umenizinguwaa

Washikaji mama chizi nakumbuka walivyo niambiyaah

Kama Muzik niimbe nisifate mambo ya dunia tena ah

Kama kusema waseme nime pokonya tonge mudomoni

Kwagisi ulivyo fanya sikupendi

Sikutegemeya Kama uta change (uta change)

Kwa gisi watemaskani hawakupendi

Haukufanya fear japo tuli spendi (tuli spendi)

Wowo woooh woooooo sikupendi (sikupendi)

Sikutegemeya Kama uta change eeh

Allahamdulilal kwama tusi ulini tukanaah

Allahamdulilal kwama baya ulini fanyiyah

Wala sija sahawu wema wote nililo kufanyanyi aah

Sija sahahu mabaya yote uliyo nitendeyaah

Baby goodbye kila kitu kina mwanzo na mwisho mamaah

Baby goodbye akuna mwanzo usiyo na mwisho mamaah

Wowo woooh wowo woooooo

Wowo woooh wowo woooh woooooo *4

Yeap eyo earn ricord

Big up ur sevior......

Woooh wowo

Enjoy the lyrics

franckbinja8@gmail.com +256777368051

Lyrics Submitted by Franck Binja

Enjoy the lyrics !!!