Hapana Jina Jingine - Reuben Kigame



     
Page format: Left Center Right
Direct link:
BB code:
Embed:

Hapana Jina Jingine Lyrics


Hapana jina jingine lilo pewa watu chini ya mbingu ili waokoke *2.
Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, akimtoa mwanawe pekee ili tuokoke. Yesu ndiye njia pekee Yeye ndiye kweli na uzima. Mtu haji kwake Baba ila kwake Yesu pekee hapana.
---
Lyrics submitted by Molly Achieng.

Enjoy the lyrics !!!