Hapo Mwanzo - Christina Shusho
| Page format: |
Direct link:
BB code:
Embed:
Hapo Mwanzo Lyrics
Hapo mwanzo kulikwa na neno
naye neno alikuwa kwa mungu
na tena neno huyu alikuwa mungu
naye neno alifanyika mwili akaja akakaa kwetu
tukauona utukufu
wake mwana kondoo yohana
alimwona amevikwa vazi lilichovya
katika damu na jina lake aliitwa Neno la Mungu
Kwa neno la Bwana, mbingu zilifanywa
Na vitu vyote vijazavyo nchi, katika neno huyu vitu vyote viliumbwa.
Eeh Bwana nakuomba litume neno
Lidhihirishe kwa kazi yako
Nalipenda neno, chakula changu
Litume neno ili niishi
Ewe neno mwaminifu wa kweli na kwa haki, unahukumu...
Lyrics Submitted by Chepkirui Mercy
Enjoy the lyrics !!!