damnlyrics.com

Hatimae Mzidi Kuwa Hodari

Hatimaye mzidi kuwa hodari

na uwezo mtapata kwake Bwana

twaeni silaha zote kwake bwana

mpate kupinga hila za shetani

Chorus

Mpendane na kuchukuliana mizigo

Yenu ninyi kwa ninyi

kwa maana kushindana kwetu sisi

si juu ya damu hii na nyama

bali ni juu ya wakuu wa giza hili

na katika ulimwengu wa roho

basi jifungni kweli viunoni

na kuvaa divia hadi kifuani

mzidi pata ushindi wa injili

imani pia na iwe ngao yenu

Lyrics Submitted by Carmey Micheni

Enjoy the lyrics !!!