DamnLyrics - The center provides all the lyrics

Hatimae Mzidi Kuwa Hodari - International Evangelism Band



     
Page format: Left Center Right
Direct link:
BB code:
Embed:

Hatimae Mzidi Kuwa Hodari Lyrics


Hatimaye mzidi kuwa hodari
na uwezo mtapata kwake Bwana
twaeni silaha zote kwake bwana
mpate kupinga hila za shetani
Chorus
Mpendane na kuchukuliana mizigo
Yenu ninyi kwa ninyi
kwa maana kushindana kwetu sisi
si juu ya damu hii na nyama
bali ni juu ya wakuu wa giza hili
na katika ulimwengu wa roho
basi jifungni kweli viunoni
na kuvaa divia hadi kifuani
mzidi pata ushindi wa injili
imani pia na iwe ngao yenu

Lyrics Submitted by Carmey Micheni

Enjoy the lyrics !!!