damnlyrics.com

Kaunyaka (feat. DJ Mapholisa)

Oolalala, oolalala, oolalalala

Wakati tuskize ni tena ni Chege na

Temba

Putu putututu, kaunyaka

Lililizilawa, nakutaka

Wanasema unaringa, wewe unaringa

Wanasema unaringa, ringa ringa we

ringa (x2)

Mi ni mpiganaji katika mapenzi

nimesimama mbele kwa ajili yako

Ukinipa sisemi usinipangepangepange

kwenye foleni

Ukinipa sisemi usinipa mi kwenye

foleni

Ukinipa sisemi usinipangepangepange

kwenye foleni

Baby gal would you come closer

I got a feeling zokutanda

I hope you know Delilah

I dont want my high catch fire *

Bora uonekane unajidai,

kugawagawa haifai

Bora uonekane unajidai, honey

kugawagawa haifai (x2)

Putu putututu, kaunyaka

Lililizilawa, nakutaka

Wanasema unaringa, wewe unaringa

Wanasema unaringa, ringa ringa we

ringa (x2)

Le leo kumbe leo, onanana

Kumbe le le oh kumbe leo, onanana

Kumbe leo, sio mkweli huyo

Huyo tapeli huyo

Leo atakupa meli oh

Kumbe leo

Tulipotoka hata jua tunapokwenda

baby nakupenda

Maonjesho ya mapenzi nayajua ya

moyoni

Mvumilivu hula mbivu ila mi siwezi

Bora unipe leo kesho uninyime

Ngoja ngoja siwezi ilimshinda asilimia

mwenzi mio atakachokipata

Papa, ndio ukimpa mwingine ndipo

sio

Nikamwambia kipara hayuko mtoto

akitanga

Kwake alieka nanga si akanipanga

Baby ntakupa meli [bahari unayo]

Baby ntakupa meli [bahari unayo]

Putu putututu, kaunyaka

Lililizilawa, nakutaka

Wanasema unaringa, wewe unaringa

Wanasema unaringa, ringa ringa we

ringa (x2)

Watabwaka watatuacha

tunaendelea, olala

Wataondoka watatuacha

tunaendelea, olala

Wataondoka watatuacha

tunaendelea, olala

Wataondoka watatuacha

tunaendelea, olala

Putu putututu, kaunyaka

Lililizilawa, nakutaka

Wanasema unaringa, wewe unaringa

Wanasema unaringa, ringa ringa we

ringa (x2)

 CHEGE LYRICS X TANZANIA

Enjoy the lyrics !!!