Kuliko Jana - Sauti Sol
| Page format: |
Kuliko Jana Lyrics
Chorus (Bién Aime):
Bwana ni mwokozi wangu, tena ni kiongozi wangu
Ananipenda, leo, kuliko jana
Baraka zake hazikwishi, si kama binadamu habadiliki
Ananipenda leo kuliko jana
Kuliko jana, kuliko jana
Yesu nipende, leo, kuliko jana
Kuliko jana, kuliko jana
Yesu nipende, leo, kuliko janaVerse 1 (Bién Aime):
Si nakuomba Mungu awasamehe,
Wangalijua jinsi unavyonipenda mimi wasingenisema
Na maadui wangu, nawaombe, maisha marefu, wazidi kuona ukinibariki.
Ujue binadamu, ni waajabu sana
Walimkana Yesu mara tatu, kabla jogoo kuwika
Ujue binadamu, ni waajabu sana
Walimsulubisha Yesu Messiah, bila kusitaChorus (Bién Aime):
Bwana ni mwokozi wangu, tena ni kiongozi wangu
Ananipenda leo kuliko jana
Baraka zake hazikwishi, si kama binadamu habadiliki
Ananipenda, leo, kuliko jana
Kuliko jana, kuliko jana
Yesu nipende, leo, kuliko jana
Kuliko jana, kuliko jana
Yesu nipende, leo, kuliko janaBridge (Savara and RedFourth):
Wewe ndio nategemea, kufa kupona baba nakutegemea
Chochote kitanikatsia, kuingia mbinguni utaniondolea (oooh oooh yeah)
Wewe ndio nategemea, (amen) kufa kupona baba nakutegemea (oh oh)
Chochote kitanikatsia, kuingia mbinguni utaniondolea (wewe, ndio nategemea)
Wewe ndio nategemea, kufa kupona ndio nategemea (Eh bwana)
Chochote kitanikatsia, kuingia mbinguni utaniondolea (Eh, maisha yangu yote)
Wewe ndio nategemea, (kwa nguvu zangu zote), kufa kupona baba nakutegemea (nakutegemea)
Chochote kitanikatsia, kuingia mbinguni utaniondolea (oooooooh)Chorus (Chimano):
Bwana ni mwokozi wangu, tena ni kiongozi wangu
Ananipenda, leo, kuliko jana
Baraka zake hazikwishi, si kama binadamu habadiliki
Ananipenda, leo, kuliko jana
(plus rest of Sauti Sol)
Kuliko jana, kuliko jana
Yesu nipende leo mimi kuliko jana
Kuliko jana, kuliko jana
Yesu nipende leo mimi kuliko janaBridge (RedFourth):
Wewe ndio nategemea (wewe), kufa kupona baba nakutegemea (wewe)
Chochote kitanikatsia (uh-huh), kuingia mbinguni utaniondolea
Wewe ndio nategemea (oooh), kufa kupona baba nakutegemea (nakutegemea)
Chochote kitanikatsia kuingia mbinguni utaniondoleaChorus (Chimano):
Bwana ni mwokozi wangu, tena ni kiongozi wangu
Ananipenda, leo, kuliko jana
Baraka zake hazikwishi, si kama binadamu habadiliki eh
Ananipenda, leo, kuliko jana.
Song Discussions is protected by U.S. Patent 9401941. Other patents pending.
