1)Majaribu Majaribu hayana budi kutokea
Majaribu Majaribu hayana budi kutokea
(Chorus)
Lakini,,tusimame Kama Ayubu alivyo kusha kusimama
Nasema,, tusimame Kama Danieli alivyo kusha kusimama
Kwa kweli tusimame Kama Shediraki Meshaki naye Abedinego

2)Majaribu ndio kipimo cha Wokovu tulio nao
Majaribu ndio kipimo cha Wokovu tulio nao
Lakini,,tusimame Kama Ayubu alivyo kusha kusimama
Nasema,, tusimame Kama Danieli alivyo kusha kusimama
Kwa kweli,, tusimame Kama Shediraki Meshaki naye Abedinego

Lyrics Submitted by Mejja