DamnLyrics - The center provides all the lyrics

Upewe Utukufu - Kilimanjaro Revival Choir



     
Page format: Left Center Right
Direct link:
BB code:
Embed:

Upewe Utukufu Lyrics


UPEWE UTUKUFU MFALME MWOKOZI MUNGU WETU
ULIYETUKUBALI HOSANA ZA FURAHA UHIMIDIWE X2
chorus
NI NANI KAMA WEWE BWANA YESU HAKUNA MWINGINE
NI WEWE UTOSHAE DUNIANI NA MBINGUNI X2
UPEWE UTUKUFU EWE BWANA YESU UZAO WA DAUDI
UJAE KUMILIKI HOSANA ZA FURAHA UBARIKIWE X2

Enjoy the lyrics !!!