damnlyrics.com

Masumbuko Mengi

Masumbuko mengi hapa duniani

Niponye(Niponye) Mwokozi(Mwokozi)

Niponye Mwana wa Mungu

Magonjwa na Dhambi Zimeniandama sana Mimi

Mawimbi ni Mengi Yako mbele yangu (Mungu Baba)

Naona uchungu mwingi, nasononeka sana

Nishike Mkono Bwana, nifike hko Mbinguni

Napenda kuona bandari ya Salama,

ya hko Binguni isiyo na masumbuko

Magonjwa na Dhambi Zimeniandama sana Mimi

Mawimbi ni Mengi Yako mbele yangu (Mungu Baba)

Naona uchungu mwingi, nasononeka sana

Nishike Mkono Bwana, nifike hko Mbinguni

Nikifika hko Binguni Kwa Baba

watnipokea kwa nyimbo na shangwe kubwa

Magonjwa na Dhambi Zimeniandama sana Mimi

Mawimbi ni Mengi Yako mbele yangu (Mungu Baba)

Naona uchungu mwingi, nasononeka sana

Nishike Mkono Bwana, nifike hko Mbinguni

Lyrics Submitted by Edwin .Muliro

Enjoy the lyrics !!!