damnlyrics.com

Matatizo

Aye aye aye

Ndugu yangu we

usiwe na shaka

Mimi niko oo

Kitakacho tokea nitakusaidia

Matatizo oo-o

Ni ya kila mtu

Haya kuarifu yanapokujia

Yanapotokea nitakusaidiaYaliponipata wengi walicheka sana

Kwangu mimi naona ni kawaida

Ndugu yangu mimi matatizo nimeyazoea

Kwangu mimi naona ni kawaida ya yaAye aye aye

Ndugu yangu we

usiwe na shaka

Mimi niko o-o

Kitakacho tokea nitakusaidia

Kwangu mimi naona ni kawaida

Matatizo o-o

Ni ya kila mtu

Haya kuarifu yanapokujia

Yanapotokea nitakusaidia

Kwangu mimi naona ni kawaida ya yaNdugu yangu mimi matatizo nimeyazoea

Kwangu mimi naona ni kawaidaKwangu mimi naona ni kawaida

Ndugu yangu mimi matatizo nimeyazoeaYaliponipata wengi walicheka sana

Kwangu mimi naona ni kawaidaNdugu yangu mimi matatizo nimeyazoea

Kwangu mimi naona ni kawaida ya ya

Enjoy the lyrics !!!