damnlyrics.com

Mikaeli

bwana ameahidi kuonyesha njia pasipo njiaaaa akutane na shida zako akupe kheri atatengeneza njia pasipo njia Waja wapiteeee ndiye mungu wa Yale yasiyowezekana

ataonyesha njia kwako katikati ya Giza Nene kati ya tanuru la moto liwakalo Mikaeli atasimama upande wako utashindaaaa

ni Mungu anaetamka na ikawa amini Leo fadhili na neema yake iwe juu yako akuinulie uso wake popote akurehemu ndiye Mungu wa Yale yasiyowezekana

Lyrics Submitted by Steve Odhiambo

Enjoy the lyrics !!!