damnlyrics.com

Mjaribu Yesu

Mbona wasema kifo ni bora dada;

Eti rafiki amekutenga,

(Sol)Unamadeni mengi yamekusonga;

Shida na dhiki zimekwandama,

(Sol)Mawazo yako ni kujiuwa weeeeh;

Hebu subiri nikushauri, ,,

(Sol)Mjaribu yesu,

Mwambie yesu, ana uwezo, yesu nidawa pekeee.(×2)

(Sol)Wengi wasema pombe ni dawa yao;

Yakutuliza mawazo yao,

(Sol)kusema kweli ndugu pombe si dawa;

Dawa pekee ni bwanayesu {×2}

(Sol)Wengi wasema pesa ni dawa yao;

Yakutatua shida zao;

(Sol)Kusema kweli dada pesa si dawa;

Dawa pekee ni bwanayesu {×2}

(Sol)Mjaribu huyu yesu

Mwambie yesu, ana uwezo, yesu ni dawa, pekee.{×2

Enjoy the lyrics !!!