DamnLyrics - The center provides all the lyrics

Mlango Uko Wa Wema - Eschatos Bride Choir



     
Page format: Left Center Right
Direct link:
BB code:
Embed:

Mlango Uko Wa Wema Lyrics


[1] Mlango uko wa wema, Mlango wazi huo
Yesu ameufungua, na hakuna kufungwa!
Mlango wazi, ajabu, uliachwa wazi kwangu!
Kwangu, Kwangu, Kwangu!.... Wazi, wazi kwangu!
[2] Mlango hukaa wazi watu waokolewe:
Masikini na matajiri, wa mataifa yote!
[3] Maajabu mlango wazi, Rafiki kaza mwendo;
Msalaba ukubali, amana ya upendo!
[4] Msalaba tutabeba, daima na furaha!
‘pendo la Yesu hushinda, Tunainama kwake!
Lyrics Submitted by Paul Munyao Musya

Enjoy the lyrics !!!