DamnLyrics - The center provides all the lyrics

Mshukuru Bwana - Christina Shusho



     
Page format: Left Center Right
Direct link:
BB code:
Embed:

Mshukuru Bwana Lyrics


Mshukuru bwana ni mwema,
Fadhili zake za milele
mshukuru bwana ni mwema,
fadhili zake za milele
israel naseme sasa
fadhili zake za milele
israel naseme sasa
fadhili zake za milele
mlango wenu ni waseme
fadhili zake za milele
mlango wenu ni waseme
fadhili zake za milele
wamchao bwana na waseme
fadhili zake za milele
wamchao bwana na waseme
fadhili zake za mulele
ya kwamba

fadhili zake za milele
ya kwamba
fadhili zake za milele
ya kwamba
fadhili zake za milele
ya kwamba
fadhili zake za milele
ya kwamba
fadhili zake za milele
ya kwamba
fadhili zake za milele
ya kwamba
fadhili zake za milele
haleluiya lisifuni jina la bwana
fadhili zake za milele
enyi watumishi wa bwana sifuni
fadhili zake za milele
msifuni bwana kwa kuwa ni mwema
fadhili zake za milele
liimbieni jina lake lapendeza
fadhili zake za milele
bwana amefanya kila lililompendeza
fadhili zake za milele
katika mbingu na katika nchi
fadhili zake za milele
katika bahari na vilindi vyote
fadhili zake za milele
mshukuruni mungu wa miungu
fadhili zake za milele
mshukuruni bwana wa mabwana
fadhili zake za milele
peke yake afanya maajabu
fadhili zake za milele
alifanya mbingu kwa fahamu zake
fadhili zake za milele
alitangaza nchi juu ya maji
fadhili zake za milele
aliye fanya mianga mikubwa
fadhili zake za milele
jua litawale mchana
fadhili zake za milele
mwezi na nyota usiku
fadhili zake za milele
tuseme
fadhili zake za milele
tuseme
fadhili zake za milele
ya kwamba
fadhili zake za milele
ya kwamba
fadhili zake za milele
tuseme
fadhili zake za milele
tuseme
fadhili zake za milele
ya kwamba
fadhili zake za milele
ya kwamba
fadhili zake za milele
haleluiya nafsi yangu msifu bwana
fadhili zake za milele
bwana ni mwema kwa watu wake wote
fadhili zake za milele
aliye igawa bahari ya shamu
fadhili zake za milele
kawavusha israel katikati yake
fadhili zake za milele
kamwangusha farao na jeshi lake
fadhili zake za milele
aliwaongoza watu wake jangwani
fadhili zake za milele
mshukuruni bwana ni mwema
fadhili zake za milele
katukumbuka kwa unyonge wetu
fadhili zake za milele
katuokoa na watesi wetu
fadhili zake za milele
kila chenye mwili akipa chakula
fadhili zake za milele
mshukuruni mungu wa miungu
fadhili zake za milele
yeee, kwa maana
fadhili zake za milele
kwa maana
fadhili zake za milele
kwa maana
fadhili zake za milele
kwa maana
fadhili zake za milele
ya kwamba
fadhili zake za milele
ya kwamba
fadhili zake za milele
ya kwamba
fadhili zake za milele
ya kwamba
fadhili zake za milele
Lyrics Submitted by EMMANUEL SIMYU

Enjoy the lyrics !!!