damnlyrics.com

Mungu Amenihurumia

Mungu amenihurumia

Tendo hili kubwa sana

Sikustahili jambo hili

Nimelipata bure tu

Sasa najua haya yote ×2

Nasifu huruma yake ×2

Nalistahili kupotea

Lakini nahurumiwa

Mungu amenipatanisha

Na yeye Kwa yesu kristo

Hivi vyote vyatoka wapi ×2

Nasema ni huruma tu ×2

Jambo hili lenye huruma

Nitalisifu daima

Nalihubiri siku zote

Nikiulizwa na watu

Ndiyo furaha yangu kubwa ×2

Naiongojea nikifa

Naiongojea nikifa

Naiongojea nikifa

Naiongojea nikifa

Lyrics Submitted by Justin james

Enjoy the lyrics !!!