Mungu Amenihurumia - Godwin Ombeni & Ruach Worship Team
Page format: |
Direct link:
BB code:
Embed:
Mungu Amenihurumia Lyrics
Mungu amenihurumia
Tendo hili kubwa sana
Sikustahili jambo hili
Nimelipata bure tu
Sasa najua haya yote ×2
Nasifu huruma yake ×2
Nalistahili kupotea
Lakini nahurumiwa
Mungu amenipatanisha
Na yeye Kwa yesu kristo
Hivi vyote vyatoka wapi ×2
Nasema ni huruma tu ×2
Jambo hili lenye huruma
Nitalisifu daima
Nalihubiri siku zote
Nikiulizwa na watu
Ndiyo furaha yangu kubwa ×2
Naiongojea nikifa
Naiongojea nikifa
Naiongojea nikifa
Naiongojea nikifa
Lyrics Submitted by Justin james
Enjoy the lyrics !!!