damnlyrics.com

Mungu Kwetu Sisi Kimbilio

MUNGU KWETU SISI#

CHORUS;

Mungu kwetu sisi, kimbilio letu,

na msaada wetu uonekanao tele na wakati wa shida hatutaogopa.

(ijapo badillika inchi, ijapo tetemeka milima x2)

SOLO;

Lakini kwenu mnalolitaja jina la Bwana,

Jua haki litawazukia, lenye kupokonya katika,

Bawa zake Baba tusimameni imara x2

Ni Bwana Yesu ndiye aweza kutusaidia,

Ni Bwana Yesu ndiye aweza kutulinda sote.

CHORUS;

Mungu kwetu sisi, kimbilio letu,

na msaada wetu uonekanao tele na wakati wa shida hatutaogopa.

(ijapo badillika inchi, ijapo tetemeka milima x2)

Mungu kwetu sisi, kimbilio letu,

na msaada wetu uonekanao tele na wakati wa shida hatutaogopa.

SOLO;

Mabaya huja mabaya hupita, katikati yetu sisi,

Lakini tume kuinulia macho yetu wewe uketiye mbinguni x2

Nakama si Bwana aliye pamoja nasi, sisi tungali angamizwa

Naye shetani.

CHORUS;

Mungu kwetu sisi, kimbilio letu,

na msaada wetu uonekanao tele na wakati wa shida hatutaogopa.

(ijapo badillika inchi, ijapo tetemeka milima x2)

Mungu kwetu sisi, kimbilio letu,

na msaada wetu uonekanao tele na wakati wa shida hatutaogopa.

Lyrics Submitted by Millicent Njoka

Enjoy the lyrics !!!