damnlyrics.com

Muziki (feat. Ben Pol)

(Darassa)

Rudi utotoni

Usipotembea utabebwa mgongoni

255 champion boy

Niite bwana samata

Wanaoota mapembe waongezee mkia

naukinibip tu nakupigia and let me make one thing clear

Braa braa braa sitaki kusikia

Sio simba sio chui sio mamba(haah!)

Ngozi yangu inatosha kujigamba

Na sina maneno ya kwenye khanga

Kazi juu ya kazi yani bamba tu bamba

Uzaa unaweza kuzaa kizaazaa

Sinzia na fegi uchome kibanda

Kalale uote ndoto zako za kitanda

Si bado tuko macho mida ya wanga

Funga mkanda kaza na kamba ama

Ufate nyayo uchane msamba pasua miamba pasua anga tunasemanga chambua kama karanga

Maisha na muziki

acha maneno weka muziki

Ukiwa trap ukiwa up ukiwa juu ukiwa chini piga muziki(iyeeee)

Safari na muziki(eeee)

acha maneno weka muziki(iyeeee)

Imba unachopenda na ukitaka kucheza cheza muziki

(Ben Pol)

Bambata

Shika kamata

Rumba chakacha

Na apo ka mchizi nshadata

nshadtaa

(Darassa)

Wataka kukimbia na hauna break

What do you expect

Bongo Kongo kwa tabo mbeki

Cheza rokasa ya bongo huwezi kumake

Watch yourself usije ukajiconfuse

Mzuka kuruka reggue kwenye blues

Huna mchuzi no excuse

Maisha yetu ya kila siku kama vile movie

Vitu vingine havitakangi ujuaji

Utajikuta unatandikia watu jamvi

Kusubiria embe chini ya mnazi

Kumwelewesha chizi utajipa kazi

Funga mkanda kaza na kamba ama ufate nyayo uchane msamba

Pasua miamba pasua anga

Tunasemanga chambua kama karanga

(Ben pol)

Bambata

Shika kamata

Rumba chakacha

Na apo kaa mchizi nshadata

nshadataa

(Darassa)

Wanatamani tupotee kwenye map

Tunapeleka game to the top top

As i got told yah

that we don stop don stop we don stop

Wanatamani tupotee kwenye map

Tunapeleka game to the top top

As i got told yah

that we don stop we don stop

Lyrics Submitted by simon thuo

Enjoy the lyrics !!!