Nakuabudu Maana Ni wewe Bwana (Cover Version) - Minister James



     
Page format: Left Center Right
Direct link:
BB code:
Embed:

Nakuabudu Maana Ni wewe Bwana (Cover Version) Lyrics


Mstari wa Kwanza:
Nakuabudu maana ni wewe Bwana (Wewe Bwana)Nikwitapo unashuka,Unajidhihirisha kwangu (Unajidhihirisha kwangu)
Kiitikio:
Nakuabudu Yesu (Nakuabudu Yesu)Hakuna Mungu kama weweWewe ni wa pekeeMfalme wa wafalme, Bwana wa mabwana.
Mstari wa Pili:
Sina mwingine wa kumtegemeaWewe ni tegemeo langu la kila sikuNainua mikono yangu mbele zakoPokea sifa, pokea utukufu.Kuhitimisha:Halleluyah, hossanaTwakuabudu maana ndiwe Bwana!
Lyrics Submitted by family rooted in christ

Enjoy the lyrics !!!