Natamani Kufanana Nawe - The Mwauras
| Page format: |
Natamani Kufanana Nawe Lyrics
Natamani kufanana nawe ×2
Siku zote za maisha yangu ×2
Natamani kushiriki nawe ×2
Siku zote za maisha yangu ×2
Natamani kutembea nawe ×2
Siku zote za maisha yangu ×2
Roho yangu ina shauku nawe.
Natamani ushirika wako
Sura yako iumbike kwangu,
Ili mimi nifanane nawe,
Natamani kufanana nawe ×2
Siku zote za maisha yangu ×2
Natamani kutembea nawe ×2
Siku zote za maisha yangu ×2
Roho yangu yatamani bwana,
Kukaa miguuni pako,
Ili niwe na ushirika nawe,
Nisikie upendavyo wewe,
Natamani kushiriki nawe ×2
Siku zote za maisha yangu ×2
Natamani kufanana nawe ×2
Siku zote za maisha yangu ×2
Naingia patakatifu pako,
Kuzileta sifa zangu kwako,
Nanakupa utukufu wote
Kwakua wewe unastahili bwana
Natamani kufanana nawe ×2
Siku zote za maisha yangu ×2
Natamani kuongea nawe ×2
Siku zote za maisha yangu ×2
Naileta thabihu yangu kwako,
Ipokee ibada yangu sasa,
Ili mimi nikubalike,
Siku zote nitembee nawe,
Natamani kutembea nawe ×2
Siku zote za maisha yangu ×2
Natamani kufanana nawe ×2
Siku zote za maisha yangu ×2
Lyrics Submitted by Simon Nakhale , Seattle WA USA