damnlyrics.com

Nimechoka Kulima

nimechoka na kulima mie tena nime choka sana

nimechoka na kulimaa tena nimechoka sana

kulima jiwe daima mie sijapa pa kuvuna

kiupanda mtama ndenge huja waka dona

Lyrics Submitted by kullaten

Enjoy the lyrics !!!