Nimechoka Kulima - Zuhura Swaleh



     
Page format: Left Center Right
Direct link:
BB code:
Embed:

Nimechoka Kulima Lyrics


nimechoka na kulima mie tena nime choka sana
nimechoka na kulimaa tena nimechoka sana

kulima jiwe daima mie sijapa pa kuvuna
kiupanda mtama ndenge huja waka dona

Lyrics Submitted by kullaten

Enjoy the lyrics !!!