damnlyrics.com

Nimekubali Bwana (Tawala Maisha Yangu Mix)

Hakuna Mungu kama wewe

[Hakuna popote

Hakuna mwenye ishara kubwa kama weeewe Mungu]×2

Si kwa majeshi

Wala silaha

Ni kwa roho

Mtakatifu

[Nguvu za giza

Zimeshindwaaa

Kwa jina laaa bwana Yesu]×2

Lyrics Submitted by Kamwero Sammy

Enjoy the lyrics !!!