Nimekubali Bwana (Tawala Maisha Yangu Mix) - DJ WIZZY 254
| Page format: |
Direct link:
BB code:
Embed:
Nimekubali Bwana (Tawala Maisha Yangu Mix) Lyrics
Hakuna Mungu kama wewe
[Hakuna popote
Hakuna mwenye ishara kubwa kama weeewe Mungu]×2
Si kwa majeshi
Wala silaha
Ni kwa roho
Mtakatifu
[Nguvu za giza
Zimeshindwaaa
Kwa jina laaa bwana Yesu]×2
Lyrics Submitted by Kamwero Sammy
Enjoy the lyrics !!!