damnlyrics.com

Nipe (Rhumba Ya Pwani)

EEEH EEEH EEEH

Toto kanatanga na akako dar

Ye uniita brodah na nishamanga

WEEH!

Kudanga watadanga ila kwako hawatoshi

MMMH!

Wakili hana kesi

AAAH!

Na refa hana mechi

Washa moto kiberiti toa kwenye pochi

Ujana ni moshi

NIPE GEMU NIPACHIKE GOLI

EEEH NIKAVUNJE BENKI

NIPE GEMU NIPACHIKE GOLI

EEH NIHARIBU SENTI

Kwa ajili yako wewe, tupige sherehe

Kwa ajili yako wewe, niharibu Senti

MMMH!

Baby don't stress

AAAH!

Njoo tupige densi

Rhumba ni ya pwani tunadensi kinyumbani

Inama shika lami

Muziki bila jasho tunadensi ufuoni

NIPE GEMU NIPACHIKE GOLI

Toto kanatanga na akako dar

sura ni murembo tabia shakila

kao ucheza juu kiki kishakira

kanadanga utadhani ni makanga

ka nirika ye ucheza na wababa

ka hauna pesa basi hautamanga

mi umtingia kambi niite manamba

siezi hata shot ju aashanimada

One by One Two by Two

Me plus you equals to

Nwantinti, Lovemwa, Nwantinti Lovemwa!

ye uniita brodah na nishamanga

roho inadunda walai nishapenda.

cheza mdogo dogo ziki nizoto

mdundondo ni ya pesa cheza na wazito

waiter jaza meza sii lipangi kesho

mose tenga tigaa tuanchane

Inka gusii twensi na ambaamo

rumba na wagenge hatupendi mdomo

ka ni chura cheza na msoto

ka ni lotto kufa na ndoto..

hii huwezi zima we futa jasho

(Wewe futa jasho)

Kudanga watadanga ila kwako hawatoshi

MMMH!

Wakili hana kesi

AAAH!

Na refa hana mechi

Washa moto kiberiti toa kwenye pochi

Ujana ni moshi

NIPE GEMU NIPACHIKE GOLI

EEEH NIKAVUNJE BENKI

NIPE GEMU NIPACHIKE GOLI

EEH NIHARIBU SENTI

Kwa ajili yako wewe, tupige sherehe

Kwa ajili yako wewe, niharibu Senti

MMMH!

Baby don't stress

AAAH!

Njoo tupige densi

Rhumba ni ya pwani tunadensi kinyumbani

Inama shika lami

Muziki bila jasho tunadensi ufuoni

NIPE GEMU NIPACHIKE GOLI

Lyrics Submitted by BANKS & PABLO

Enjoy the lyrics !!!