Nishike Mkono - Fanuel Sedekia
| Page format: |
Direct link:
BB code:
Embed:
Nishike Mkono Lyrics
Safari ya Imani, nakutazama Yesu,
Nataka nifike ngambo salama, lakini njiani mawimbi ni mengi,
mashaka yanisonga kuniangamiza.
Chorus
Oh! Oh! Nishike mkono nisizame
Mawimbi ni mengi niokoe. x2
Mawimbi ni makali, nahitaji msaada,
Nishike mwokozi niwe salama, wewe uliyeniita nakuja kwa neno lako,
Napata kutembea kwa neno lako.
Chorus
Oh! Oh! Nishike mkono nisizame
Mawimbi ni mengi niokoe. x2
Safari ya imani natembea kwa imani,
Dhambi isinishinde nisaidie, katika majaribu makali kama moto,
Najua nikitoka kama dhahabu.
Lyrics Submitted by Jelagat Ivy
Enjoy the lyrics !!!