DamnLyrics - The center provides all the lyrics


     
Page format: Left Center Right
Direct link:
BB code:
Embed:

Pakaza Lyrics


Yeh huh,Nahreel what's up.
Over the industry, alright alright.
Yeah mmhh
Chin beez ahaaa
Okay
Verse 1:Chin Beez
Hold up! Usilete uchaga Tanga.
Gwiji la flow Chin Beez.
Ukilega na scores.
So rapper uanze jipanga.
Nawauwaga slow like this.
Paka wanaomba poo.
Slow down, usilete kisanga.
Nawaficha store.
Easy bila hata ya soo.
Aaah rappers majanga, nawapiku kwa treats.
Heavy bila hata ya fix.

Haters nawaacha na scars.
Nawateka ma chicks.
Peace na machizi real, wanafeel vile naflow.
Ukipenda ji mix, nami ntakuteach.
Kwa game me sinaga mzaha.
Kazi kwenu ma snitch.
Mnakesha mki snitch.
We snitch mi nazidi ng'aa.
Kama pesa nasaka na sintobweteka,ili nije niishi kinabii.
So kila mdundo naudaka kwa flows naubaka,na rappers wote wana tii.
Fans nawapa wanachotaka,kote napeta na suckers nawazima zii.
Game nimeshapakata vyovyote naiweka na haters siwasikii.
Kama huongei pesa,huezi ongea na mii.
Hata ukin diss me nakula gee.
Niko ma level ya mbaali.
Like a Joh nigga I see me.
Me number one,we zero or free.
Nakuadhibu daily ila bado hausikii
Home kadeki baharii.
Ukishamaliza ndo u battle na me.
Niccah
Chorus:G Nako
{Pakazaa Pakazaa
Watu wananyamazaa
Moto chini,moto juu
Kati wamejijazaa}*2
{Macho kwenye mapenee
Macho macho kwenye mapenee} *2
Verse 2:Chin Beez
Aah Just clap clap,Kama bado papa.
Japo haters wana hate,but yo won't let me don't stop.
All my way to reach on top.
If you feel me nigga, world up.
MUNGU ananilinda Mimi,hata utafute vumbi majini hatuwezi kaa.
Wachawi wachawi wanatafuta mbinu za kunichawia.
Wazadhani kismati wakati ni MUNGU ndo kanijalia.
Wee mtafute John,ukitaka kumtafuta KING am here.
Cheki jinsi navyo test money.
Usione sonii navopita mkia.
Yeah! Chini wameji inamia.
Maana hawana pa kukimbilia.
Nakanyaga kisha nashindiliaa.
Kama cha mtume nafunikia.
Nawaona kwa mbali wanachechemea.
Upako wa lens nakemelea.
Navuta semi kwa bajaji.
Haufikiriagi kitachotokea.
........ukiwa na jah.
Japo wanaziba nisiweze ng'aa.
Kote napita,sauti inasikika bila hata ya wings me na fly.
Na representing till I die.
Midundo nainyonga mithili ya tai.
Me ndo pirato wa rappers.
Kila ntakachokisema hawakataii.
Aight...
Repeat Chorus till fade.
Lyrics Submitted by Charles Ased

Enjoy the lyrics !!!