damnlyrics.com

Pokea

Pokea by Karura voices

Lyrics

Maneno ya kinywa changu na mawazo yakuabudu

Nitakushukuru Mungu Kila siku na kuabudu

Utukufu na heshima pokea

Sifa zetu ni zako Baba pokea

Utukufu na heshima pokea

Sifa zetu ni zako Baba pokea

Milele nitakuimbia wee

Mikono nakuinulia wee

Sifa nitakurudiahia wee

Eee wee Bwana.

Enjoy the lyrics !!!