Si Njia Rahisi - Reuben Kigame
| Page format: |
Si Njia Rahisi Lyrics
Si njia rahisi
Ya kwenda mbinguni
Miiba mingi safarini
Ooh! uooh!
Si njia rahisi
Lakini ninaye
Mwokozi aliyenifia
Woh! uoh! uoh! uoh! yeh!
Laaa
La si njia rahisi
La la,
La la si njia rahisi
Kutembea na yesu
Kuongoza safari
Mazito huyalahisisha
Si njia rahisi
Mashaka ni mengi
Mapigo nayo majaribu
Vikwazo viko tele
Lakini najua mwokozi yu pamoja nami
Oooh! oooh
La la
Si njia rahisi
Kutembea na yesu
Kuongoza safari
Mazito huyalahisisha
Najipa moyo hima
Mwokozi aweza ×2
Kunishindia haya yote
Tashinda kwa imani
Amenitangulia
Nayaweza mambo yote kwake
Yeh! yeh! ooh!
La la
Si njia rahisi ×2
Kutembea na yesu
Kuongoza safari
Mazito huyalahisisha
Halelluyah
Kutembea na yesu
Kuongoza safari
Mazito huyalahisisha
Lyrics Submitted by Asira