Sija Ona Kama Wewe - Patrick Kubuya



     
Page format: Left Center Right
Direct link:
BB code:
Embed:

Sija Ona Kama Wewe Lyrics


Sijaona kama wewe mumbaji wa bingu na nchi roho yangu ya kusifu ewe mfalme kwa jina lako bwana wangu mabaya yote yameshindwa nani ataye simama mbele zakooo umoja tangu mwanzo unapita na mawazo maarifa yako bwana ni makubwaaa kimbilio la vizazi sijaona kama ww nguvu zako bwana wangu zinatishaaa bahari ya kutii milima yatetemeka kwa sauti yakoo tuu bwana

Enjoy the lyrics !!!