damnlyrics.com

Tumepoteza (feat. Maua Sama)

Ah, I swear to God for my life

That I speak from my heart

Ushawai kupenda

Let me see your hands up

Ah, mwanga umeingia gizani

Nyota yetu inafifia angani

Ndoto zetu zinaishia njiani

Mapenzi yetu yako mashakani

Mapenzi ya vikwazo mitihani

Kila mmoja anaumia ndani

Tulivyo anza mwanzo sikudhani

Kama yangepotelea hewani

Kwako nilijifunza kupenda

Sikuwa na pumzi ata ya kuhema

Kuwa na wewe mazoea yakajenga

Ukafanya nikuwaze kila sehemu ninayo kwenda

Yako wapi?

Yako wapi yale mapenzi yale, yako wapi?

Yako wapi?

Mimi na wewe tulikuwa happy

Leo yako wapi?

Yako wapi yale mapenzi yale, yako wapi?

Yako wapi?

Mimi na wewe tunaenda wapi?

Yako wapi?

Yako wapi yale mapenzi yale, yako wapi?

Yako wapi?

Mimi na wewe tulikuwa happy

Leo yako wapi yale mapenzi yale, yako wapi?

Yako wapi?

Mimi na wewe tunaenda wapi?

Tumepoteza!

Tumepoteza mapenzi, tumepoteza

Tumepoteza!

Tumepoteza mapenzi, tumepoteza

Tumepoteza!

Tumepoteza mapenzi, tumepoteza

Tumepoteza!

Tumepoteza mapenzi, tumepoteza

Ah, ule wakati hujui ushike wapi

Unafanya kitu moyo wako hautaki

Kujiuliza maswali majibu hupati

Niya kutapa tapa kama mfa maji

Sometimes hisia zinakudanganya

Unatanga na njia hujui la kufanya

Huwezi kukimbia unacho kipenda sana

Unabaki unaumia akili inakuchanganya

Tunacheat wakati tunapendana

Tunapendana vipi tusipoaminiana

Mimi na wewe imebaki kuzoeana

Haya sio mapenzi, mapenzi ya kutesana

Mwanga umeingia gizani

Nyota yetu inafifia angani

Ndoto zetu zinaishia njiani

Mapenzi yetu yako mashakani

Yako wapi?

Yako wapi yale mapenzi yale, yako wapi?

Yako wapi?

Mimi na wewe tulikuwa happy

Leo yako wapi?

Yako wapi yale mapenzi yale, yako wapi?

Yako wapi?

Mimi na wewe tunaenda wapi?

Yako wapi?

Yako wapi yale mapenzi yale, yako wapi?

Yako wapi?

Mimi na wewe tulikuwa happy

Leo yako wapi?

Yako wapi yale mapenzi yale, yako wapi?

Yako wapi?

Mimi na wewe tunaenda wapi?

Tumepoteza!

Tumepoteza mapenzi, tumepoteza

Tumepoteza!

Tumepoteza mapenzi, tumepoteza

Tumepoteza!

Tumepoteza mapenzi, tumepoteza

Tumepoteza!

Tumepoteza mapenzi, tumepoteza

Ule wakati hujui ushike wapi

Unafanya vitu moyo wako hautaki

Kujiuliza maswali majibu hupati

Niya kutapa tapa kama mfa maji

Things ain't gonna be the same again

Mambo yalivyokuwa mimi nawe

Ibaki stori ya kusimulia mapenzi

Mambo yalivyokuwa mimi nawe

Things ain't gonna be the same again

Mambo yalivyokuwa mimi nawe

Ibaki stori ya kusimulia mapenzi

Oooh yeah eeh

Yako wapi? (ooh babe)

Yako wapi? (yako wapi?)

Leo yako wapi? (no no no no no)

Yako wapi? (oooh babe)

(Abba)

Lyrics Submitted by dimoso

Enjoy the lyrics !!!