damnlyrics.com

Twende Kazi (No Jokes)

Twende Kazi Twende Kazi Twende Kazi Twende Kazi

No Jokes No Jokes No Jokes No Jokes

Twende Kazi Twende Kazi Twende Kazi Twende Kazi

No jokes no jokes no jokes no jokes aahSi mchezo kwangu hii ni kazi yangu

Si lazima ni du kazi ya offici ni do vi u du

Kama mbaya mbaya hakuna kugwaya

Hii muziki basi ndio kazi yangu

CV yangu ni hii beat inacheza

Zinatengenezwa kila siku

Sina stress na mtu staki stress pia

Sina shida na mtu staki shida pia

Nawambia tu vile najiskia pia

Naisema ile njia ninaweza so

Check end month ni kilia daily

Pole sana will do it my way

I'll do it my way I'll do it my way

Maisha highway na kuta one time

Hakuna u-turn ama rerun

Mungu basi amenisaidia kazi

Vile nimeanza kuna kushukuruBado sija pata ndaii Bado sija pata ndaii

Lakini nita wai wai Lakini nita waiwai

Bado sija pata ndaii Bado sija pata ndaii

Lakini nita waiwai Lakini nita waiwai

Bado sija pata ndaii Bado sija pata ndaii

Lakini nita waiwai waiwai waiwai waiwai

Lakini nita waiwaiTwende Kazi Twende Kazi Twende Kazi Twende Kazi

No Jokes No Jokes No Jokes No Jokes

Twende Kazi Twende Kazi Twende Kazi Twende Kazi

No jokes no jokes no jokes no jokes

Twende Kazi Twende Kazi Twende Kazi Twende Kazi

No jokes no jokes no jokes no jokes

Twende Kazi Twende Kazi Twende Kazi Twende Kazi

No jokes no jokes no jokes no jokes

Enjoy the lyrics !!!