damnlyrics.com

Upendo Agape

Ndugu yangu unatazama wapi wewe

Inua macho yako kwa Bwana

Hizi nazo ndugu ni siku gani wewe

Hizi nazo ni siku za mwisho

Kama ni dunia kuharibika-a

Imeharibika kweli x2

Tazama vitendo viovu ndugu vimekidhi kweli

Uvutanji bangi,madawa ya kulevia ndizo zimezindi vijana

Ajabu hata akina mama nao wahusika huzuni x2

Ajabu moja ni hii

Katika vitendo viovu vya ubakaji

Hata watoto wandogo wanahusishwa

Ilivyo kuwa Sodoma na Gomora

Hata na leo ndivyo ilivyo sasa x2

Ndugu yangu

Kama u miongoni mwao

Njoo kwa Yesu

Uokolewe x3

Lyrics Submitted by Treza Solomon

Enjoy the lyrics !!!