damnlyrics.com

Upewe Utukufu

UPEWE UTUKUFU MFALME MWOKOZI MUNGU WETU

ULIYETUKUBALI HOSANA ZA FURAHA UHIMIDIWE X2

chorus

NI NANI KAMA WEWE BWANA YESU HAKUNA MWINGINE

NI WEWE UTOSHAE DUNIANI NA MBINGUNI X2

UPEWE UTUKUFU EWE BWANA YESU UZAO WA DAUDI

UJAE KUMILIKI HOSANA ZA FURAHA UBARIKIWE X2

Enjoy the lyrics !!!