Usitikiswe - Mary Atieno
| Page format: |
Usitikiswe Lyrics
Usitikiswe usife moyo uwe mwaminifu hatakufa nimekuandalia makao mazuri ulionauridhi usionyauka dhawabu yako ni kuu unatajiinayo ng'ara uwee mwaminifu hatakufaa.
Kumbuka jinsi nilivyokausha mto yorudani wayahudi wakavuka wakaridhika ndani neno langu litakusaidia damu yangu itakufunika wewe n mboni la jicho yangu.
Mimi ni Elohi Mungu aonaye usife moyo sitakuacha, mimi ni Nisi Bwana majeshi nitakuficha na mabawa yangu.
Adui atarusha mishale ya moto kwa upanga waroho utamshinda, omba na kufunga soma neno langu ahadi zangu zitakuhifadhi ujipe moyo nakuombeya piga vita vyema nautashinda.
Kumbuka jinsi nilivyo kuanaye Danieli nikamuokoa kwenye tundu la simba mwanagu nitakulinda nitakua mwaminifu kwako wewe ni mboni ya jicho langu.
Mimi ni Elohi mungu aonaye usife moyo sitakuacha mimi ni Nisi bwana wamajeshi nitakuficha na mabawa yangu.
Mimi ni mwanzo natena ni mwisho mimi ni alfa na omega mimi ni Mungu aliye hai bwana wa majeshi asiyeshindwa, mimi ni ngome na mkombozi kimbilio lako na ngao yako kumbuka agano langu lina dumu milele sitalivinja nasitaligeuza hakuna atakaye nitenganisha na wewe wewe ni mboni ya jicho langu.
Mimi ni Elohi mungu aonaye usife moyo
sitakuacha mimi ni Nisi bwana wa majeshi nitakuficha na mabawa yangu.
Hakuna atakaye nitenganisha na wewe, wewe ni mboni ya jicho langu, wewe ni mboni ya jicho langu.
Lyrics Submitted by Jess