damnlyrics.com

Uzito Wa Msalaba

Hukutambua uzito wa msalaba

Najiuliza huwezi kujua

Jambo moja ninajua

Mwokozi

Uzito ukamlemea

sasa ninaona kiu

Yesu alia msalabani

Kikombe hiki

Kiniepuke vipi

Yote ni kwa ajili yetu ×2

Hukutambua fedheha za msalaba

Wala kujua maumivu yake

Akachomwa misumari

Mkononi

Mkuki ubavuni mwake

sasa ninaona kiu

Yesu alia msalabani

Kikombe hiki

Kiniepuke vipi

Yote ni kwa ajili yetu ×2

Enjoy the lyrics !!!