DamnLyrics - The center provides all the lyrics

Watakatifu - Sammy Irungu



     
Page format: Left Center Right
Direct link:
BB code:
Embed:

Watakatifu Lyrics


By Sammy Irungu.
WATAKATIFU
1. Mtakatifu mtakatifu, Ni wewe Mungu wangu;
Uliyezifanya mbingu na nchi,
Kwa uweza wa neno lako X2
Chorus:
Heshima na utukufu na sifa,
ni zako ewe Bwana ,
Heshima na utukufu na sifa ni zako ewe Bwana.
2. Malaika Mbinguni wakuinamia,
Wakusujudu, na wa kuezi;
Wanakabidhi heshima zao, Mbele yako ewe Mungu,

Na duniani twakuabundu na baharini wakuabundu,
Umetukuka milele yote, hakuna Mungu kama wewe.
Chorus:
Heshima na utukufu na sifa,
ni zako ewe Bwana ,
Heshima na utukufu na sifa ni zako ewe Bwana.
3. Wewe ni mtetezi wa wajane,
Na tena ni baba wa mayatima,
Walisha hata ndege wa angani,
Na pia wanyama wa porini,
Wema wako ni wakudumu,
Ukarimu wako wa kushangaza, hakuna Mungu kama wewe,
Matendo yako ni ya ajabu.
Chorus:
Heshima na utukufu na sifa,
ni zako ewe Bwana ,
Heshima na utukufu na sifa ni zako ewe Bwana.
Prepared by Moses Keigi:

Enjoy the lyrics !!!