Yesu Amefanyika Bora - Mary Atieno
Page format: |
Yesu Amefanyika Bora Lyrics
Yesu amefanyika bora kupita malaika na wanadamu
Jina lake limeridhi utukufu na heshima*2
Ni yeye yuleNa miaka yake haita koma milele
Yesu ni mkate wa uzima,ndiye alpha na omega
A-mii n shahidi weteu mwaminifu,mwangalizi wa roho yangu
Yesu ndiye jua la haki, na jua litokalo mbinguni
Utukufu wake wangara,Zaidi ya nyota zote
Na siku moja,tutamuona yesu uso kwa uso*2
Yesu ndiye mwana wa mungu,anayependwa sana na mungu
Baba anamwita mwana na mwana anamwita baba
Yesuvndiyevmuzaliwa wa kwanza wake mungu baba
Baba anamuita mwana na mwana anamwita baba
Na siku moja,kila ulimi utakiri jina hili
Jina lake yesu pekee,ndilo linaweza kuokowa
Kwa jina lake yesu pekee,mapepo wanatoroka
Ni jina lake yesu pekee,ndilo laweza kukomboa
Kwa jina lake yesu pekee,magonjwa yote yanaponywa
Kwa damu yake tumemshinda, yule muovu shetani *2
Lyrics Submitted by BEN NISSI WEKESA