langu jicho - Jahazi Modern Taarab
Page format: |
Direct link:
BB code:
Embed:
langu jicho Lyrics
Langu jicho×3
sinyanyui mdomo wangu,
nanyamaza nanyamaza nanyamaza
mkono na shavu lanu
uo msemo wa zamaani
ulimi uliponza kichwa
nachelea na walimwengu
yasije yakanikutaa yakanikuta
nafsi yangu ni ile ile haipotei
mwenzenu ninadamu mbaya ninatambua
kipi nilofanya mbaya nakuchukiwa×2
aaaaah bora ninyamaze...
aaah vema nipuuze×2
nione itavyo kuwaa
yataniepuka meengi
nikiufunga mdomo
uzuri nikiangalia, uzuri nikiangalia
nimeshakaa na wengi.
Enjoy the lyrics !!!