DamnLyrics - The center provides all the lyrics

Amini Nakwambia - Angela Chibalonza



     
Page format: Left Center Right
Direct link:
BB code:
Embed:

Amini Nakwambia Lyrics


Amini Amini nakwambia
Amini amini ujumbe mpya
Yeye aliye mwamini Mwana, anao uzima
Amini Amini nakwambia
Amini amini ujumbe mpya
Yeye aliye mwamini Mwana, anao uzima
Ni Mwokozi aliyenifia,nitoke dhambini alisema
Yeye aliye mwamini Mwana, anao uzima
Amini Amini nakwambia
Amini amini ujumbe mpya
Yeye aliye mwamini Mwana, anao uzima
Amini Amini nakwambia

Amini amini ujumbe mpya
Yeye aliye mwamini Mwana, anao uzima
Dhambi zangu zilichukuliwa,deni zangu zote zililipwa
Wote waliomwamini Mwana,wanao uzima
Amini Amini nakwambia
Amini amini ujumbe mpya
Yeye aliye mwamini Mwana, anao uzima
Amini Amini nakwambia
Amini amini ujumbe mpya
Yeye aliye mwamini Mwana, anao uzima
Ijapo ningekuwa maskini, ijapo ningekuwa mkosaji
Neno la furaha la Mwokozi, linao uzima
Amini Amini nakwambia
Amini amini ujumbe mpya
Yeye aliye mwamini Mwana, anao uzima
Amini Amini nakwambia
Amini amini ujumbe mpya
Yeye aliye mwamini Mwana, anao uzima
Na sina shaka nitamwamini,yeye ajaye kwake hatupwi
Amwaminiye tuma habari, tunao uzima
Amini Amini nakwambia
Amini amini ujumbe mpya
Yeye aliye mwamini Mwana, anao uzima
Amini Amini nakwambia
Amini amini ujumbe mpya
Yeye aliye mwamini Mwana, anao uzima
Lyrics Submitted by Samuel Collins Mutuli

Enjoy the lyrics !!!