Bwana Nakupenda - Neema Mwaipopo
| Page format: |
Bwana Nakupenda Lyrics
Eeeh bwana nakupenda, nakupenda,
Ninayo kila sababu babu baba ya kukupenda,umenitendea mengi ya ajabu,
Hata kulipa siwezi baba pokea sifa,
Nakupenda baba aah nakupenda,
Kila ninapokutafakari natetemeka,
Kwa nini unidhamini mimi mwanadamu,
Ninajua ni kwa neema kuu umenipenda,
Upendo wako kwangu, ni maarufu,
Siwezi kumlinganisha kamwe na usifiwe,wewe ni wa dhamani maishani,
Nisaidie nieikuache tusonge mbele,
Nakupenda baba aah nakupenda, kila ninapokutafakari natetemeka, kwa nini unidhamini mimi mwanadamu, ninajua ni kwa neema kuu umenipenda,
Asubuhi ninaona ,fadhili zako,
Na mchana ninashuhudia upendo wako,
Na usiku ninaona kupumzishwa,
Kila wakati mimi naona kufarijika,
Nakupenda baba aah nakupenda, kila ninapokutafakari natetemeka, kwa nini unidhamini mimi mwanadamu, ninajua ni kwa neema kuu umenipenda.