Chuki - Wyre
| Page format: |
Chuki Lyrics
Na na na na ...Verse 1
Ni sababu gani mwanitenda hivi
Uwongo mwanena kunihusu mimi
Hamnifahamu hamjui
Chenye nafanya maishani
Mwangu nyumbani
Mwangu nyumbani
Mijidai eti nyie marafiki
Kumbe nia zenu zilikuwa kundi
Kunitenganisha na mpenzi
Wa roho yangu na kuniacha
Mashakani, taabaniChorus
Ni chuki, ndio na hisi
Nikiwaza jinsi
Mlivyojitolea kuniudhi
Bila matokeo yaaniNi chuki, ndio na hisi
Nikiwaza jinsi
Mlivyojitolea kuniudhi
Bila matokeo yaaniVerse 2
Mambo yenu mi sishughuliki nayo
Mnavyoishi mimi sina hoja nayo
Kinachonihusu si lazima
Mkifahamu na kushinda
Mkipiga domo
Mkipiga domo
Mlichotenda kwangu kweli hakifai
Kiwango cha unchungu mlinipa yaani
Sina heshima kwenu tena
Ukuta wa chuki mlijenga
Kati mi nanyi
Kati mi nanyiChorus
Ni chuki, ndio na hisi
Nikiwaza jinsi
Mlivyojitolea kuniudhi
Bila matokeo yaaniNi chuki, ndio na hisi
Nikiwaza jinsi
Mlivyojitolea kuniudhi
Bila matokeo yaaniBridge
Na na na na
Ni shida kuamini yaani
Na na na na
Kiwango cha uchungu mlionipa
Na na na na
Heshima kwenu mimi sina tena
Na na na na
Basi chuki ndio mimi nahisiChorus
Ni chuki, ndio na hisi
Nikiwaza jinsi
Mlivyojitolea kuniudhi
Bila matokeo yaaniNi chuki, ndio na hisi
Nikiwaza jinsi
Mlivyojitolea kuniudhi
Bila matokeo yaani