damnlyrics.com

Hakuna Mungu Mwingine

Mary Ominde Hakuna Mungu mwingine lyrics.

Sasa nimetambua kwamba hakuna Mungu mwingine

Ila Jehovah Mungu wa Israeli Mungu mwenye uwezo ninayemuabudu

Pokea utukufu pokea heshima Pokea uweza Muumba wa vyote

Pokea utukufu pokea heshima Pokea uweza Muumba wa vyote

Chorus: Hakuna Mungu mwingine ila Jehovah x4

Sasa nimetambua kwamba kweli kuna Mungu mmoja

Mungu wa Ibrahimu Mungu wa Isaka Mungu wa Yakobo Baba wa milele

Wewe ni kimbilio wewe ni ngao yangu Wewe ni jabali wewe ni boma langu

Chorus: Hakuna Mungu mwingine ila Jehovah x4

Nitakapomaliza kazi ya Mungu duniani Baba ataniambia

Mwana Karibu x3 umefanya vyema

Machozi nitapanguza huzuni nitatoa

Mwana Karibu x3 umefanya vyema

Chorus: Hakuna Mungu mwingine ila Jehovah x4

Lyrics Submitted by Millicent Adem

Enjoy the lyrics !!!