Adam Na Eva - Pst Alex & Mary Atieno Ominde
Page format: |
Adam Na Eva Lyrics
Adamu Na Eva By Mary Atieno
All Tunda lile walilokatazwa na Mungu walikulaa
Tunda lile walilokatazwa na Mungu walikulaa
Adamu na Eva walitenda (Dhambi ya siri )
Adamu na Eva walitenda (Dhambi ya siri )
Adamu na Eva walitenda (Dhambi ya siri )
Tunda lile walilokazwa na Mungu walikulaa
(Tunda lile walilokazwa na Mungu walikulaa)
Tunda lile walilokazwa na Mungu walikulaa
(Tunda lile walilokazwa na Mungu walikulaa)
Shetani mbaya alindanya (Watu wa Mungu)
Shetani Mchafu alindanya (Watu wa Mungu)
Shetani Mjanja alindanya (Watu wa Mungu)
Ndipo wewe ulihesabiwa (Mtu wa dhambi)
Ndipo mimi nilihesabiwa (Mtu wa dhambi)
Ndipo wote tulihesabiwa (Watu wa dhambi)
Mungu kwa upendo kamtuma Yesu atuokoe
(Mungu kwa neema kamtuma Yesu atuokoe)
Mungu kwa upendo kamtuma Yesu atuokoe
(Mungu kwa neema kamtuma Yesu atuokoe )
Kanisa na dini haziwezi (kukuokoa)
Elimu na mali haziwezi (kukuokoa)
Ulevi na urembo haziwezi (kukuokoa)
Yesu mwamba wetu ndiye mwenye nguvu za kuokoa
(Yesu mwamba wetu ndiye mwenye nguvu za kuokoa)
Yesu mwamba wetu ndiye mwenye nguvu za kuokoa
(Yesu mwamba wetu ndiye mwenye nguvu za kuokoa)
Ewe ndugu utakwenda wapi (Siku ya mwisho)
Dada yangu utakwenda wapi (Siku ya mwisho)
Mama yangu utakwenda wapi (Siku ya mwisho)
Baba yangu utakwenda wapi (Siku ya mwisho)
Elimu yaweza kupotea (Siku ya mwisho)
Huwezi kumwona Bwana Mungu (Siku ya mwisho)
Uje kwake Yesu akuokoe umuone Mungu
Uje kwake Yesu akuokoe umuone Mungu
Uje kwake Yesu akuokoe umuone Mungu
Uje kwake Yesu akuokoe umuone Mungu
Lyrics Submitted by Gladys