Kurasini - Bahari Ya Kioo - Kurasini SDA Choir
| Page format: |
Kurasini - Bahari Ya Kioo Lyrics
Kando kando ya bahari ya kioo marafiki watakapokutana wakizunguzunguka kiti cha enzi, kwa shangwe na vigelegele swali moja twaulizana kiasi gani tu tayari wanasayuni kesheni kwa maombi wokovu wetu u mlangoni.
(Kando) kando kando ya kiti cha enzi hapo ndipo tutaketi natami na mimi niwepo kwa nini nikosekane yote kwa yote nikose ya dunia nipate uzima milele sina udhuru wala sababu kwa nini mimi nikosekane x 2
Muda mwingi tumekuwa na muokozi katika taabu shida na dahari sioni sababu ya kukosa uzima napambana usiku mchana swali moja najuiliza hukumu yangu itakuwa aje Bwana naja kwako unishike mkono tukariabiapo Kanani.
(Kando) kando kando ya kiti cha enzi hapo ndipo tutaketi natami na mimi niwepo kwa nini nikosekene yote kwa yote nikose ya dunia nipate uzima milele sina udhuru wala sababu kwa nini mimi nikosekane. (Rudia mpaka mwisho)
Lyrics Submitted by Evans Nyakundi Okebiro