Mlianza Na Roho - Ben Githae
| Page format: |
Mlianza Na Roho Lyrics
Mlianza na roho,
Mlianza na roho,
Mmemalizia na mwili kwa nini,
Mlianza na roho,
Mlianza na roho,
Mmemalizia na mwili kwa nini
Alisema na Wagalitia,
Na siku ya leo roho anasema,
Mlianza, mlianza na roho,
Mmemalizia na mwili kwa nini
Mlianza na roho,
Mlianza na roho,
Mmemalizia na mwili kwa nini,
Mlianza na roho,
Mlianza na roho,
Mmemalizia na mwili kwa nini
Alisema na Waefeso,
Na siku ya leo roho anasema,
Mliacha upendo wa kwanza,
Tubuni dhambi mtasamehewa
Mlianza na roho,
Mlianza na roho,
Mmemalizia na mwili kwa nini
Mlianza na roho,
Mlianza na roho,
Mmemalizia na mwili kwa nini
Anasema, enyi sio moto,
Na sio baridi,
Nyinyi vuguvugu
Mtatupwa, atawatapika,
Tubuni leo, roho anasema
Mlianza na roho,
Mlianza na roho,
Mmemalizia na mwili kwa nini
Mlianza na roho,
Mlianza na roho,
Mmemalizia na mwili kwa nini
Kuomba, kufunga chakula,
Kuenda ushirika, zote muliacha
Wachungaji, munawasengenya,
Viongozi wenu, munawadharau
Mlianza na roho
Mlianza na roho
Mmemalizia na mwili kwa nini
Mlianza na roho
Mlianza na roho
Mmemalizia na mwili kwa nini
Hampendi, ukweli wa neno,
Mwapenda maneno, yanayo wapendeza
Mazao ya roho ni roho,
Mukipenda ya mwili, mtavuna laana
Mlianza na roho,
Mlianza na roho,
Mmemalizia na mwili kwa nini,
Mlianza na roho,
Mlianza na roho,
Mmemalizia na mwili kwa nini