damnlyrics.com

Moyo Wangu

Neno lake mwokozi ni faraja yangu

Neno lake mwokozi ni taa miguuni pangu

Hakuna mwingine anastahili,Ila yeye

Neno lake mwokozi ni faraja yangu

Neno lake mwokozi ni taa miguuni pangu

Hakuna mwingine anastahili,Ila yeye.

Moyo wangu moyo wangu, mwimidi bwana wako

Moyo wangu moyo wangu, mwimidi bwana wako

Siku zote siku zote za maisha yako

Siku zote zisku zote za maisha yako

Eee moyo.×2

Mungu was Israeli na mungu was Musa

Mwenye nguvu za ajabu na mwenyeupendo mwingi

Hakuna mwingi anastahili ila yeye

Mungu was Israeli na mungu was Musa

Mwenye nguvu za ajabu na mwenye upendo mwingi

Hakuna mwingi anastahili ila yeye

Moyo wangu moyo wangu, mwimidi bwana wako

Moyo wangu moyo wangu, mwimidi bwana wako

Siku zote siku zote za maisha yako

Siku zote zisku zote za maisha yako

Eee moyo.×2

Ndege was angani wanamwimbia

Mbingu nayo dunia tunamwabudu,

Hakuna mwingi anastahili ila yeye

Ndege was angani wanamwimbia

Mbingu nayo dunia tunamwabudu,

Hakuna mwingi anastahili ila yeye

Moyo wangu moyo wangu, mwimidi bwana wako

Moyo wangu moyo wangu, mwimidi bwana wako

Siku zote siku zote za maisha yako

Siku zote zisku zote za maisha yako

Eee moyo.×2

Neno lake mwokozi ni faraja yangu

Neno lake mwokozi ni taa miguuni pangu

Hakuna mwingine anastahili,Ila yeye

Neno lake mwokozi ni faraja yangu

Neno lake mwokozi ni taa miguuni pangu

Hakuna mwingine anastahili,Ila yeye.

Moyo wangu moyo wangu, mwimidi bwana wako

Moyo wangu moyo wangu, mwimidi bwana wako

Siku zote siku zote za maisha yako

Siku zote zisku zote za maisha yako

Nanananaana,nanananananaaana

Nanananaaanana..

Nanananaana,nanananananaaana

Nanananaaanana..

Nanananaana,nanananananaaana

Nanananaaanana..

Nanananaana,nanananananaaana

Nanananaaanana..

Lyrics Submitted by Reuben Bosire Onyancha

Enjoy the lyrics !!!