Mtie Kamba Mumeo - Khadija Kopa
Page format: |
Mtie Kamba Mumeo Lyrics
Kama unaweza mtie kamba mumeo umzuie
Ukitahamaki chini ka chimba mumeo ninae mie*2
Chini ka chimba ninae mie*2
Ninae mie ninae mie.*2
Chini ka chimba ninae mie
Ninae mie natamba nae.
Verse1
Mbio mbio kanikimbilia(mumeweo)
Akaniomba mapenzi*2
Namii nami nikamringia
Nikaona nikaona hayawezi.*2
Kumbe kumbe amenikamia
Kanizingua kanizingua kichizi
Nami nikamridhia*2
Kila kitu LA azizi
Nikamwambia chukua upendacho LA azizi...
(Chorus)
Verse 2
Kwa yangu makashkashi
Aliingia uchizi.*2
Alihamisha mataki
Alipojaa njozi*2
Nikampa nikampa mishkaki.
Na chai ya tangawizi*2
Aliniambia sichoki(mie)
Siogopi fumanizi*2
(Chorus)
Verse 3
Bwana huyu bwana huyu kaniganda mie
Wala hanipi pumzi*2
Namimi namimi ninayapenda
Nazidi kukaza uzi*2
We baki baki unavyokarega
Hakupendi hakupendi hujijuzi*2
Wala hujui kupendaaa
Na mabao huyamalizi.*2
(Chorus)
Lyrics Submitted by Khadija