damnlyrics.com

Nimkimbilie Nani

NIMKIMBILIE NANI LYRICS

Nimkimbilie nani{Eeeh eeh eeeh}

Nimkimbilie Yesu mwokozi wangu

Nimkimbilie nani{Eeeh eeh eeeh}

Nimkimbilie Yesu mwokozi wangu

Wakati wa majonzi,wakati wa shida

Nimkimbilie Yesu mwokozi wangu

Nimkimbilie nani{Eeeh eeh eeeh}

Nimkimbilie Yesu mwokozi wangu

Wakati marafiki watanitoroka

Nimkimbilie Yesu mwokozi wangu

Nimkimbilie nani{Eeeh eeh eeeh}

Nimkimbilie Yesu mwokozi wangu

Nimkimbilie nani{Eeeh eeh eeeh}

Nimkimbilie Yesu mwokozi wangu

Lyrics Submitted by Samuel Kimani Mwangangi

Enjoy the lyrics !!!